Uchaguzi wa chama hicho katika nafasi mbalimbali ngazi ya Taifa ulifanyika Januari 21, 2025, ambapo Tundu Lissu aliibuka ...
Uchaguzi wa chama hicho katika nafasi mbalimbali ngazi ya Taifa ulifanyika Januari 21, 2025, ambapo Tundu Lissu aliibuka ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka msimamo kuhusu wabunge 19 wa Viti Maalum, akiwamo Halima Mdee, kwamba hatima yao inategemea mkutano mkuu wa chama hicho.
“Nitumie nafasi hii kama msemaji wa chama kwamba CCM haikusiki na jambo lolote na uchaguzi wa CHADEMA. CCM tunayo majukumu mengi ya kufanya na viongozi wote na watendaji mawazo yetu yote, akili zetu ...