Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa uongozi wake utajikita zaidi katika kuhakikisha haki inatendeka ndani ya chama na kwa wananchi kwa ujumla.