KUKOSOA juhudi za kuwawezesha watoto wa kike kwa madai kuwa zinalenga kufanya mapinduzi ya kufanikisha wanawake kutawala wanaume kunaanza kusikika. Ni maoni yanayosikika miongoni mwa wanaopinga haraka ...
KUWATUMIA watu wanaoishi na ulemavu ili kujinufaisha mfano kuwaweka barabarani na bakuli kuomba fedha ni mambo yanayofanyika ...
Nujoma alitajwa kuwa "gaidi wa ki-Marxist" na viongozi wa wazungu wa Afrika Kusini kwa kuongoza vikosi vilivyopigana pamoja ...
Msemaji wa Naibu wa Vikosi vya Ulinzi vya Uganda ameiambia BBC kwamba jeshi la Uganda linadumisha tu wanajeshi waliopelekwa ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Chillery amewataka maofisa wa madawati ya jinsia na watoto (PGDs) kuongeza nguvu na uadilifu katika kushughulikia kesi za udhalilishaji ...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu imesema lazima iwepo sheria mpya itakayotoa adhabu kwa wanaosingizia makosa ya ukatili, ili ...
Nchi 47 wanachama wa Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa zimekubali kuanzisha uchunguzi siku ya Ijumaa tarehe 7 Februari kuhusu mauaji Mashariki mwa DRC, eneo linalokabiliwa na ...
Mtaalamu Huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu za watu wenye ualbino, Muluka-Anne Miti-Drummond, leo Februari 7 jijini Geneva, Uswisi amepongeza uamuzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za ...
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza la Haki za Binadamu kinachofanyika jijini Geneva, Uswisi, ameonya kuwa ghasia ...
Akizungumza kwa niaba ya wenzake, mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Ushirombo, Petronia Clement amesema kampeni hiyo imewasaidia kujitambua na kuelewa haki za msingi za watoto na watu ...
"Mimi nataka tu haki ya mtoto wangu, hakuna kitu ingine nataka, ni mtoto wangu tu nataka haki itendeke..." said Brian’s mother Elizabeth Auma. Auma’s heartbreaking wails echoed through the courtroom ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results