KUTAMBULISHWA kwa Bernard Morrison KenGold FC, hilo ni jambo moja, je inaweza kumdhibiti 'chautundu' huyo? Hili ndilo jambo ...
TANZANIA imepangwa kwenye Kundi C, katika droo ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, iliyochezeshwa hivi majuzi ...
SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson amewaomba watanzania kuombea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili wapatikane viongozi bora na wema watakaoongoza taifa liendelee kuwa na amani. Dk. Tulia alitoa rai hiyo jan ...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo ameunda kamati maalumu ya watu 15 kuchunguza wimbi la wageni wanaofanya ...
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi imemwonya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe kwa kutofika mahakamani tangu shauri la madai ya malimbikizo ya mishahara ya waandishi wa habari 10 ...
WANAFUNZI 30 wa shule ya St Mary’s Mbezi waliopata daraja la kwanza kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka huu wamepewa ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewataka wananchi kuchukua tahadhari za kuepuka maeneo ya fukwe za bahari pamoja na miamba ya maziwa na mito ili kujinusuru na mafuriko n ...
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema limewapoteza askari wake wawili na wengine wanne kujeruhiwa, kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma, yaliyofanywa na ...
BODI ya Chai Tanzania (TBT), imesema lengo kuu ni kupanga kufikia malengo waliyojiwekea kuendeleza zao hilo, kwa muda wa miaka 10 kuanzia mwaka 2024 mpaka 2034. Kaimu Mkurugenzi Bodi hiyo, Beatrice Ba ...
WATAALAM wa afya wamebainisha kwamba ugonjwa wa chuki hasi ni moja ya ugonjwa hatari wa kuambukiza na unaoleta madhara na ...
KUCHEZA kimkakati ili kupata ushindi ndio jambo muhimu kwa Simba kuelekea mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Tabora United itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani, Ta ...