MBUNGE wa Iringa Mjini (CCM), Jesca Msambatavangu, amehoji serikali imejipangaje katika kudhibiti matukio ya wizi wa watu au utekaji nchini. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbunge huyo ...
Katika juhudi za kuboresha huduma za usafiri wa anga nchini, Shirika la Ndege la Precision Air limeanzisha safari mpya za ndege kati ya Dar es Salaam na Iringa, ambazo zitaanza rasmi Machi 03, 2025.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results