Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na ...
MBUNGE wa Iringa Mjini (CCM), Jesca Msambatavangu, amehoji serikali imejipangaje katika kudhibiti matukio ya wizi wa watu au utekaji nchini. Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbunge huyo ...
Leo Jumapili Februari 9, 2025 Namibia, Afrika na dunia kwa ujumla imeamka na taarifa mbaya ya kifo cha mwanamema na ...
Takribani wakazi 750 wa zamani wa visiwa hivyo, jamaa na watu wengine walikusanyika katika maandamano hayo ya kila mwaka yaliyofanyika mjini Nemuro katika mkoa wa kaskazini mwa Japani wa Hokkaido ...
lakini mpaka sasa hali ya wasiwasi inaendelea kuwakumba wakazi wa mjini Goma, kufuatia njaa na umasikini unaosababishwa na vita hivyo. Inatokea sasa hivi ...
"Vikosi vyetu vimepiga hatua kubwa Khartoum, kupata eneo lote la Al-Rumaila, bohari ya matibabu, eneo la viwanda na hazina ya sarafu ya serikali," msemaji wa SAF Nabil Abdallah amesema katika taarifa.
6 Februari 2025 Majengo ya kihistoria mjini Mosul, yakiwemo makanisa na misikiti, yanafunguliwa tena kufuatia uharibifu wa miaka mingi uliotokana na kutekwa kwa mji huo wa Iraq na kundi la Islamic ...
Chanzo cha picha, Getty Images Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Washington akiwa na waziri mkuu wa Israel, Trump alipendekeza siku ya Jumanne kwamba Marekani inapaswa kudhibiti Ukanda ...
Safari za anga za ndege kubwa katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa zinatarajiwa kurejea tena rasmi Februari 22 mwaka huu, baada ya kusitishwa kwa zaidi ya miaka nane ili kupisha upanuzi na ukarabati wa ...
Namungo ilipokea kipigo hicho ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora huku ikitangulia kupata bao la mapema kupitia nahodha wake, Jacob Massawe kabla ya wenyeji kupindua meza na ...
Handeni. Baraza la madiwani la Halmashauri ya Mji wa Handeni, mkoani Tanga limeazimia na kumuagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuifunga kwa siku 14 ofisi ya ofisa ardhi kwa kushindwa kutatua ...
Akisema motocycliste anamaanisha muendesha pikipiki, focaliser au centre ville, anamaanisha kubaki mjini tu, na certitude uhakika. "Kama muendesha pikipiki (motocycliste) ikiwa popote pale naeza ...