MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Singida Mjini,Shwahibu Mohamed, amesema sio kweli kwamba wajumbe 29 wa mkutano mkuu kutoka Mkoa wa Singida wanamuunga mkono mgombea ...
MBUNGE wa Iringa Mjini (CCM), Jesca Msambatavangu, amehoji serikali imejipangaje katika kudhibiti matukio ya wizi wa watu au ...
Hata hivyo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amemtaka kuleta swali hilo kama msingi ili Serikali iweze kujibu kikamilifu.
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeweka dhamira ya kuongoza kitaifa kwa idadi ya kura atakazopata mgombea urais wa ...
Wamesema ujenzi utarahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji na kuchochea ukuaji wa uchumi. Meneja Wakala wa Barabara za vijijini na Mjini (Tarura) Wilaya ya Moshi, Orota Africano amesema barabara ...
Hakuna tarehe iliyotangazwa ya mkutano mpya wa mawaziri wa mambo ya nje mjini Luanda, Angola, chini ya mwamvuli wa Rais Lourenco. Kwa wakati huu, makubaliano ya amani yanasalia katika hatua ya rasimu.
“Vifaa nilivyopata vitanisaidia kuongeza uzalishaji na kipato changu,” alisema mmoja wa walengwa, Petro Valonge, kijana kutoka Iringa Mjini. Naye Prisca Kaile alisema mradi huo si tu umewalenga wao ...
Néné Bintu ni msimamizi wa ofisi ya uratibu wa asasi za kiraia mjini Bukavu aliyeongoza maandaman hayo. «Tunataka Rais wa Jamhuri achunguze kinachofanyika katika jimbo letu sababu kuna hata ...
According to THIS 2022-2023, Njombe has the highest prevalence at 12.7 percent, followed by Iringa (11.1 percent), Mbeya (9.6 percent ... Unguja North at 0.7 percent, Mjini Magharibi at 0.4 percent, ...
Mara ya mwisho hii ilifanyika ilikuwa ni mjini Glasgow kwenye mkutano wa COP mwaka 2021, ambayo ilicheleweshwa kwa mwaka mzima kutokana na janga la COVID-19. Eneo hilo la msitu wa mvua pia linaonyesha ...
Other regions include Mjini Magharibi, Kusini Unguja, Kaskazini Unguja, Kusini Pemba in Zanzibar, Arusha and Kilimanjaro. “Currently, two regions of Mbeya and Iringa are anticipating to complete the ...
Shirika la Hali ya Hewa Duniani, WMO, lilitangaza hayo jana Jumatatu mjini Geneva. Kwa mujibu wa wataalamu wa Umoja wa Mataifa ni kwamba mwaka huu ulizidi ule kwa nyuzijoto 0.3. Katibu Mkuu wa ...