Kikao hicho kimefanyika baada ya Chadema kumaliza uchaguzi wake wa ndani wa mabaraza ya wanawake (Bawacha), vijana (Bavicha) na wazee (Bazecha) na ule wa uenyekiti ngazi ya Taifa ambao Lissu aliibuka ...
Wakati viongozi wa wa juu wa Chadema wakipanga wiki moja ya kikao cha kupanga mikakati ya kuendesha chama hicho kuelekea ...
"Ninaomba kila mtu kudumisha umoja wetu tunapokaribia uchaguzi," aliongeza katika hotuba yake ya kufunga kikao cha CCM ... Chama kikuu cha upinzani cha Chadema bado hakijaanza mchujo huu, lakini ...
BUNGE limepitisha Azimio la Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika ...
Baada ya mahojiano na Clouds Media, Mbowe alihudhuria kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, ambacho kilikuwa kinaongozwa na Lissu kwa muda. Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao hicho ni John Heche ...
Uchaguzi wa Chadema unatarajiwa kufanyika Januari 21 ... Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imefanya kikao chake cha kwanza kuamua iwapo Rais aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol aondolewe ...
Mrema alisema baada ya uchaguzi mkuu, Baraza Kuu la CHADEMA litakutana tena Januari 22, kwa ajili ya kuteua Katibu Mkuu, Manaibu wake na wajumbe nane wa Kamati Kuu. Kwa siku hizo mbili, kikao cha ...
Naye Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aliwatakia Bazecha uchaguzi ... Mnyika alisema uteuzi huo umefanywa na Kamati Kuu katika kikao cha Januari 11, mwaka huu. “Uteuzi wa wazee wastaafu ...
Wabunge hawa walichaguliwa katika uchaguzi wa mwezi Desemba mwaka jana, huku chama tawala cha Patriotic Salvation Movement, kikipata viti 124 kati ya 188, kwa mujibu wa tume ya uchaguzi.
Aliongeza kwamba anataka aweke katika utekelezaji kile alichojifunza nchini Japani. Ujumbe wa Ukraine umepangiwa kushiriki katika kikao cha mafunzo cha NHK hadi Februari 6.
kitengo cha usalama cha TROIKA kinachooongozwa na Tanzania katika SADC kinatarajiwa kufanya kikao cha dharura kutafuta mbinu za kuwaleta pamoja wahusika wote kwenye mzozo wa mashariki mwa DRC ...
Despite its efforts, Chadema has yet to secure an electoral victory over the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party, which has ruled the nation since it became a united republic in 1964. This year ...