MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Anna Henga, amesema kinachoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeelo (CHADEMA), ni ishara tosha kwamba demokrasia bado ...
BAADA ya CHADEMA kumaliza uchaguzi na kusimika viongozi wapya, inageukia ajenda ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ikisema ‘no reforms no election’, kumaanisha bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Tundu Lissu ...