Ikiwa imepita siku moja tangu kuzuiliwa nchini Angola kwa saa nane, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud ...
Viongozi mbalimbali wa upinzani wakiwemo marais wawili kutoka mataifa ya Afrika na wengine kutoka kwingineko duniani, siku ...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma yake ya kugombea urais kupitia chama ...
Ni sura mpya katika nafasi za ukurugenzi ndani ya Chadema, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kamati Kuu ya chama hicho iliyojifungia kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kufanya uteuzi.
DAR ES SALAAM: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla amemtaka Mwenyekiti wa ...
DAR ES SALAAM: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla ...
Leo katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, Mkutano unaendelea kati ya viongozi wakuu wa chama hicho na ...
Serikali ya mpito ya Syria imeanza mkutano wa majadiliano ya kitaifa ya kujadili mustakabali wa nchi hiyo kufuatia kuanguka kwa serikali ya Rais wa zamani Bashar al-Assad. Takribani watu 500 ...
Waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar amesema hataki uhusiano wa nchi yake na Ulaya "ushikiliwe mateka” kutokana na mitazamo ya watu kuhusu mzozo kati ya Israel na Hamas. Kauli yake ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Kundi la Nchi 20 zilizostawi zaidi kiuchumi, G20 wameanza mkutano wao nchini Afrika Kusini. Lakini mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani hajahudhuria mkutano huo ...
Kuapishwa kwa Donald Trump kama rais wa 47 wa Marekani, Mkutano wa kimataifa kuhusu uchumi huko Davos, Hali ya kibinadamu kuendelea kuzorota mashariki mwa DRC, Tundu Lissu ateuliwa kuwa mwenyekiti ...
Mkutano wa viongozi wa sekta ya fedha wa kundi la nchi tajiri na zile zinazoinukia kiuchumi G20, umemalizika bila ya makubaliano ya pamoja huku Urusi na China zikipinga maelezo ya vita vya Ukraine.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results