Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Chillery amewataka maofisa wa madawati ya jinsia na watoto (PGDs) ...
“Kuna tatizo kidogo. Kuna mfungwa mmoja aliyehukumiwa kifungo cha miaka thelathini mwezi Novemba mwaka jana, anaitwa ...
Kwa mujibu wa video hiyo, kila dereva au kondakta aliyekuwa akishuka kutoka kwenye basi, alikuwa akimshikisha askari kitu kinachodhaniwa kuwa ni fedha. Kutokana na tuhuma hizo, juzi, Jeshi la Polisi ...
KUKOSA ufahamu wa masuala ya usawa kijinsia na uhaba wa miundombinu muhimu shuleni ni miongoni mwa vichocheo vinavyowarudisha ...
Baada ya miezi kadhaa ya mapigano, waasi wa M23 sasa wanaudhibiti mji mkuu wa Goma, mji unaokaliwa na zaidi ya watu milioni ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ...
Mkuu wa Shirika la Afya la ... Mapigano makali, yanaendelea katika mji wa El Fasher kati ya kundi la wapiganaji wa RSF na muungano wa vikosi vya jeshi la Sudan likiwemo jeshi lenyewe, pilisi ...
"Tayari kumekuwa na mapigano ya kwanza ya jeshi ... la Catatumbo kaskazini mashariki mwa Colombia, amesema. Mapigano ya kwanza "yalifanyika jana (Alhamisi) alasiri kusini mashariki mwa El Tarra ...
Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...
Mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo yameonya kwamba kuongezeka kwa uhasama kwenye viunga vya mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunakohusisha kundi lisilo la kiserikali ...
Nchini Lebanon tarehe 17 mwezi huu wa Januari Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwa ziarani Lebanon alitembelea walinda amani wa Umoja wanaohudumu chini ya ujumbe wa Mpito wa UN nchini Lebanon, UNIFIL ...
Marekani imetangaza vikwazo siku ya Alhamisi, Januari 16, dhidi ya mkuu wa jeshi la Sudani, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, siku chache baada ya kuchukua hatua sawa dhidi ya mkuu wa wanamgambo wa ...