Kwa mujibu wa video hiyo, kila dereva au kondakta aliyekuwa akishuka kutoka kwenye basi, alikuwa akimshikisha askari kitu kinachodhaniwa kuwa ni fedha. Kutokana na tuhuma hizo, juzi, Jeshi la Polisi ...
Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Chillery amewataka maofisa wa madawati ya jinsia na watoto (PGDs) kuongeza nguvu na uadilifu katika kushughulikia kesi za udhalilishaji ...
Mwandishi mahiri wa riwaya nchini, Faki A. Faki anakuja na mzigo mpya kabisa wa kisa cha upelelezi, mapenzi na maisha ya ...
KUKOSA ufahamu wa masuala ya usawa kijinsia na uhaba wa miundombinu muhimu shuleni ni miongoni mwa vichocheo vinavyowarudisha ...
Baada ya miezi kadhaa ya mapigano, waasi wa M23 sasa wanaudhibiti mji mkuu wa Goma, mji unaokaliwa na zaidi ya watu milioni ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ...
Rais wa Kongo Félix Tshisekedi ameapa kurejesha mamlaka ya serikali mashariki mwa nchi, ambako waasi wa M23 wanaoungwa mkono ...
Ni mji wa Poland wenye wakazi wapatao 10,000, uliovamiwa na jeshi la Ujerumani (Wehrmacht ... magharibi mwa Berlin (wakati huo lilikuwa jumba la wageni la polisi na SS), kulifanyika “mkutano.” ...
Mkuu wa Shirika la Afya la ... Mapigano makali, yanaendelea katika mji wa El Fasher kati ya kundi la wapiganaji wa RSF na muungano wa vikosi vya jeshi la Sudan likiwemo jeshi lenyewe, pilisi ...
dhidi ya Polisi Tanzania, Februari 15, 2024. TIMU ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', itajua wapinzani wake itakaokutana nao wakati droo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), ...
"Tayari kumekuwa na mapigano ya kwanza ya jeshi ... la Catatumbo kaskazini mashariki mwa Colombia, amesema. Mapigano ya kwanza "yalifanyika jana (Alhamisi) alasiri kusini mashariki mwa El Tarra ...
Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...