Trump alisema shambulizi hilo, chini ya wiki mbili tangu alipoapishwa, lililenga mpangaji mkuu wa mashambulizi wa IS na ...
Baada ya shambulizi la hivi majuzi rais wa Somalia alionesha hali ya kukata tamaa, askikiri "umuhimu wa msaada wa Marekani ...
Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Dk Festo Dugange ameyasema hayo leo ...
"Tumepokea taarifa rasmi kutoka kwa Marekani kuhusu kusitishwa mara moja kwa mchango wake (wa kifedha) kwa kikosi cha kimataifa cha usaidizi wa usalama," amesema Stéphane Dujarric, akitoa taarifa ...
Mamlaka ya Kenya inahakikisha kwamba ujumbe wa kimataifa wa usalama nchini Haiti hauko hatarini. Siku ya Jumanne, Februari 4, Marekani ilitangaza kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani kwa ujumbe huu ...
TIMU ya Polisi Tanzania imeita mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono kuelekea mchezo wa Ligi ya Championship dhidi ya Kiluvya United utakaochezwa katika Uwanja wa Ushirika Moshi, Februari ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewaua kwa risasi watu wawili waliodaiwa kuwateka wanafunzi wawili wa shule ya Blessings Model School iliyoko Nyasaka, Manispaa ya Ilemela. Kwa mujibu wa taarifa, ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, ...
KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye mbioni kujiunga na CR Belouizdad ya Algeria atavuta mshahara wa kibosi, tofauti ...
“Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa sababu ni hatua kubwa iliyofanywa na Jeshi la Polisi. Naitaka jamii kuishi kwa kumhofia Mungu na kuamini kwamba ipo siku utaondoka duniani,” amesema. Askofu wa Kanisa ...
Mwanaspoti linajua kuna timu nyingine ya nchi hiyo ambayo ipo siriazi ikipania kumng’oa kocha wa Simba, Fadlu Davids tena kwa ahadi ya mkwanja mrefu wa mshahara na posho ndefu ... maslahi ambayo ...