Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Vigwaza kimeadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake, huku kikitoa wito wa kuepuka ubaguzi katika mchakato wa uchaguzi mkuu. Mwenyekiti wa chama hicho, Athumani Kimui, ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetambulisha wagombea wake wa nafasi ya urais huku kikiweka wazi mikakati mitano ya kuendelea kubaki madarakani huku kipaumbele kikiwa kuondoa tatizo la ajira kwa vijana ...