Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa mjini ...
Aidha, alisema katika kikao hicho watatambulisha nembo ya chai ya Tanzania ili iwe rahisi kutambuliwa hata ikiuzwa nje ya nchi na kwamba wanaamini hatua hiyo itasaidia kukuza biashara ya zao hilo.