CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa mapendekezo matatu kwa serikali kufuatia ... mkakati wa dharura wa kisera na kibajeti wa kuhakikisha inakuwa na fedha za kutosha kwenye Mfuko wa ...
BAADA ya timu zao za kampeni kutambiana kwa mwezi mmoja, hatimaye Tundu Lissu amekuwa Mwenyekiti wa nne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akimshinda Freeman Mbowe kwa tofauti ya kura 31.