Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuing'arisha Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali za wananchi wa Jimbo hilo. Hayo yamebainishwa leo Februari 02, 2025 na Naibu Wa ...
TAASISI ya Jamii Foundation kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, pamoja na wanawsake wa mkoa huo, ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na ukubwa wa chama hicho na matumaini ya ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza wakuu wa nchi wengine wa Afrika katika majadiliano ya pamoja ...
Tuzo ya Gates Goalkeeper imeasisiwa na Taasisi ya Bill and Mellinda Gate mwaka 2017 ikilenga kuchochea na kuonyesha juhudi za ...
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
RAIS Samia Suluhu Hassan, amekitaka Chama cha Mapinduzi kutoruhusu kunyemelewa na wanachama kiburi bali kulinda heshima ya ...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Januari 30, 2025 amekula chakula cha mchana pamoja na walioshiriki uokoaji katika jengo ...
Marais zaidi ya 20 wa nchi za Afrika wamekutana nchini Tanzania leo Jumanne kujadili sekta ya nishati ya uhakika hadi ifikapo ...
MWIGIZAJI wa vichekesho Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amempa tano Rais Samia Suluhu Hassan na kutoa pongezi kwa ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John ... Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka ...
Kikao hicho kimeanza hii leo Jumamosi jijini Dar ... Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama mashariki ya DRC na kwamba ...