RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa ...
KAMATI ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la ...
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha limeagiza halmashauri hiyo kuwaua mbwa ambao hawana walezi ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kutokea kutokana na mbwa hao. Wamefikia hatua hiyo ...
Siku moja baada M23 kudhaniwa kuanza kutekeleza sitisho la vita kufuatilia taarifa ya awali, suala hilo limeoneka kuwa ni ...
Jumla ya wanafunzi 11,524 kutoka kaya maskini zilizotambuliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wamenufaika na mkopo wa ...
HALI ya kutisha imeukumba mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya maiti za watu kutapakaa katika ...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imejipanga kuimarisha hali ya usafi wa mazingira, ili kulinda tuzo ya usafi ambayo ...
TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Shirika la Utangazaji Tanzania ...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga, imeokoa kiasi cha fedha Sh. milioni 137.8 za mauzo ya ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, wamejadili taarifa mbalimbali kwenye kikao cha baraza cha robo ya pili, kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo ya wananchi na halmashauri hiyo. Kikao h ...
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetoa elimu ya Hifadhi ya Jamii na shughuli zinazotekelezwa na mfuko huo kwa wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya T ...
KLABU ya Simba pamoja na kushushwa hadi nafasi ya pili, bado ina matumaini ya kutwaa Ubingwa wa Tanzania Bara huku taarifa ...