Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kurejea madarakani Januari 20, ametangaza hatua ya serikali yake, kusitisha misaada hasa ya kifedha kwa nchi za kigeni, kupitia Shirika la Misaada ya ...
Challenges with Ghana's electoral system In West Africa, Ghana's candidate-centered electoral system has been criticized as "woman unfriendly." However, the country finally signed an affirmative ...
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa uongozi wake utajikita zaidi katika kuhakikisha haki inatendeka ndani ya chama na kwa wananchi kwa ujumla.
Aliyekuwa mkurugenzi wa muziki Damiel Evans anasema jinsi anavyokumbuka vitisho alivyopewa na aliyekuwa mwajiri wake, Sean ''Diddy'' Combs- anayejulikana kama Puff Daddy kwa waliokuwa karibu naye.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa.
Serikali ya Tanzania imesema barabara zote mpya zinazojengwa kwa kiwango cha lami zinahusisha ujenzi wa njia za waenda kwa miguu katika maeneo ya majiji, miji na maeneo mengine. Naibu Waziri wa Ujenzi ...
Tundu Lissu, former vice chairperson for Tanzania mainland and the party’s 2020 presidential candidate, triumphed in a highly competitive race against Mr Mbowe and other senior figures. The election ...
During this election, members of the General Assembly faced a choice between Freeman Mbowe, the party leader for 21 years, who promised stability, continuity, and reconciliation, and Tundu Lissu, the ...
mwingine kamshika mkono huku mkubwa akitembaa sambamba naye wanakimbia kwenda kusaka usalama kwani hali ni tete vita imechachamaa anasema “Wiki mbili zimeisha na tukiwa bado tunatembea kwa miguu, ...
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Kahama, Stanley Luhwago amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia Februari 5, 2025 akieleza mwanafunzi huyo alifariki dunia papo ...