Uchaguzi wa viongozi hao wa kitaifa wa chama cha CHADEMA utafanyika kesho katika ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam. WENYEVITI NA LISSU Jana wenyeviti wa mikoa 21 na makatibu wao walikusanyika ...
Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na ...
Katibu Mkuu Ado alisema viongozi wa mikoa, majimbo na kata wameagizwa kuwaruhusu watiania ... Kuhusu yanayoendelea katika uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kama wako ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi atashiriki katika mkutano wa kilele wa viongozi wa Mashariki na Kusini mwa Afrika unaoanza Ijumaa kujadili mzozo wa mashariki mwa nchi ...
Inaripotiwa kwamba ni wanasiasa na viongozi wa kisiasa ndiyo wanaoishi kwenye mji huo wa kifahari. Magenge yenye silaha yanaoongoza asilimia 85 ya mji mkuu wa Port-au-Prince, ambapo mwezi uliopita ...
Hata hivyo kabla ya tarehe hiyo kutimia huenda mataifa haya mawili yaliyo na uchumi mkubwa kufikia maelewano ya kuepusha mzozo wa kibiashara. Viongozi wa mataifa hayo mawili wanatarajiwa kukutana ...
WA's housing shortage has been a key issue in the lead up to the March state election. Peak bodies say more needs to be done to increase supply, through more social and affordable housing, a rise ...
Ndiyo maana viongozi wa Kiarabu tayari wamekataa kabisa mawazo yake, yaliyotolewa mara kwa mara katika siku 10 zilizopita,akipendekeza Misri na Jordan kuwa zinaweza "kuwachukua" Wapalestina kutoka ...
VIONGOZI wa serikali za mitaa, halmashauri ya wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamesisitizwa kuwekeza kwenye mfumo shirikishi wa kijamii katika kupanga na kutekeleza miradi ya maendeleo na utatuzi wa ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi-CCM mkoani Kigoma kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo ili miradi hiyo iweze kukamilika ...
Sasa ni wakati wa kumaliza mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo katika mkutano na waandishi wa habari mjini New York Marekani. António ...