Rais wa Marekani amesema anataka nchi yake ichukue" umiliki wa muda mrefu "wa Gaza, na kuibadilisha kuwa" eneo la kitalii la ...
Rais wa Marekani amesema anataka nchi yake ichukue" umiliki wa muda mrefu "wa Gaza, na kuibadilisha kuwa" eneo la kitalii la ...
Kamisheni ya Zanzibar, Naibu Kamishna wa Polisi, Simon Chillery amewataka maofisa wa madawati ya jinsia na watoto (PGDs) kuongeza nguvu na uadilifu katika kushughulikia kesi za udhalilishaji ...
Kamanda Mutafungwa amesema baada ya kuonekana wakitishia usalama wa maofisa wa polisi waliofichua maficho yao kutokana na ...
100,000 ili kupata dhamana katika vituo vya polisi hali inayowafanya baadhi yao kushindwa kuendelea ... alisema baadhi ya bodaboda hawana leseni akitaja sababu kuu kuwa si raia wa Tanzania, hivyo ...
Akimsomea Dk Slaa Shtaka, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki , Wakili wa Serikali, Clemence alidai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 9, mwaka huu, ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...
DAKTARI Bingwa wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu kutoka Chama cha Wataalmu wa Kifafa Tanzania ... vituo kama hivyo vilivyojikita kwenye mahitaji ya wale wenye ulemavu wa kimwili na katika kujifunza haswa ...
Katika mfululizo wa leo, tunatoa taarifa juu ya vituo vya elimu kwa raia wa kigeni, kulingana na maudhui yaliyomo kwenye tovuti na baadhi ya vyanzo vingine. Nchini Japani, kuna shule za kimataifa ...
Waziri Mkuu wa Mauritius, Navin Ramgoolam amesema siku ya Jumanne kwamba amefikia makubaliano mapya "tayari kutiwa saini" na Uingereza juu ya udhibiti wa Visiwa vya Chagos, visiwa vya kimkakati ...
Ghasia zinazoendelea zimesababisha huduma muhimu za Haiti karibu ya kuporomoka kabisa. Hospitali zimezidiwa uwezo, huku zaidi ya nusu ya vituo vya afya nchini vikikosa vifaa vya msingi vya matibabu.
Pia wamesema vituo vya afya vimezidiwa na haviwezi kutoa matibabu ya kutosha kwa majeruhi, wahanga wa ukatili wa kijinsia, au hata kushughulikia miili ya waliouawa na hali imezidishwa kuwa mbaya na ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania ...